top of page

TAMC-2.jpg


2.JPG

TAMC-2.jpg
1/4
Leseni ya Morning star Televisheni yatolewa
Hatimaye leseni ya kuruhusu utangazaji wa kituo cha utangazaji cha televisheni. Akitoa taarifa hiyo ,mkurugenzi wa Tanzania Adventist Media Center amesema leo leseni imetolewa na shirika la mawasiliano TCRA ambayo ni hatua muhimu na kilichobaki ni kufanya uzinduzi wa kituo ambayo itatangazwa siku yoyote kuanzia leo tarehe 26/02/2014...............
Mkutano mkubwa wa Union mission ya Tanzania kusini
Mkutano mkuu wa Union mission ya kusini unatemea kufanyika tearehe 12 march . mambo yatakayojadiliwa ni pamoja na namna ya kufanikisha mkutano mkuu wa injili unaotegemea kufanyika mwezi mei katika viwanja vya PTA Sabasaba.
Kifungu cha leo
“Kila andiko lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa mafundisho na kwa kuwaonya watu makosa yao na kwa kuwaongoza na kwa kuwaadibisha katika haki (2Tim 3:16)."

Website za kanisa


Fuatilia kurasa zetu katika mitando ya kijamii


East Central Division
Vituo vya TAMC



bottom of page