top of page
SHULE YA BIBLIA-SHUHUDA
Je sauti ya unabii (VOP) imekubariki? je imebadili maisha yako?je ungependa kushiriki mbaraka huo na watu wengine?
karibu katika ushuhuda wangu ambapo utatoa shuhuda zako mbalimbali namna ambavyo sauti ya unabii (vOP) imekubariki. jina na barua pepe yako ni muhimu ili ushuhuda wako ukubaliwe.Mara baada ya kutuma ushuhuda wako tu utaonekana kwenye ukurasa wetu wa tovuti na watu wengi watausoma. Asante unapochukua uamuzi wa kutuma ushuhuda wako.
bottom of page